Big biginyo
hii ni blog ya jamii yote... kwa vijana, wazee na watoto pia... kila mtu anaruhusiwa kuweka maoni yake... pia kuweka mada mbalimbali ambazo tutazijadili kwa pamoja na kupata majibu...
BIGINYO
jobson(biginyo)
vijana wa nbs kwenye pozi
vijana wa nbs wakipata picha za kuagana baada ya kumaliza project... kutoka kushoto ni kaka jobson,dada samia na kaka ally
WADAU WA CHANGANYIKENI
vijana coseke au nbs wakiwa kwenye pozi tofauti..... kuna dada regina,mwanamtama,christina,aneth, na kaka steve,ayubu jobson na hubert.
HIVI TUNAELEWA KWELI MATUMIZI YA HIZI NETI KWELI...?
Wakati serikali ikihangaika kuhakikisha kila kaya inapata chandarua, lakini kwa wenzetu wengine nadhani wamekosa elimu sahihi ya kutumia vyandarua hivyo......
UPENDO KWA WOTE.....
upendo kwa watu wote ni kitu bora sana hasa kwa vijana ambao ni taifa la kesho....
Subscribe to:
Posts (Atom)