hii ni blog ya jamii yote... kwa vijana, wazee na watoto pia... kila mtu anaruhusiwa kuweka maoni yake... pia kuweka mada mbalimbali ambazo tutazijadili kwa pamoja na kupata majibu...
BIGINYO
jobson(biginyo)
HIVI TUNAELEWA KWELI MATUMIZI YA HIZI NETI KWELI...?
Wakati serikali ikihangaika kuhakikisha kila kaya inapata chandarua, lakini kwa wenzetu wengine nadhani wamekosa elimu sahihi ya kutumia vyandarua hivyo......